2 Nyakati 1:17
2 Chronicles 1:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Waliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600* za fedha, na farasi kwa shekeli 150.* Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu.
2 Chronicles 1:17 in English
2 Chronicles 1:17 · Berean Standard Bible
A chariot could be imported from Egypt for six hundred shekels of silver,* and a horse for a hundred and fifty.* Likewise, they exported them to all the kings of the Hittites and to the kings of Aram.
Context
15Mfalme akafanya fedha na dhahabu kuwa vitu vya kawaida kama mawe huko Yerusalemu, mierezi akaifanya kuwa mingi kama mikuyu vilimani. 16Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue.* Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue. 17Waliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600* za fedha, na farasi kwa shekeli 150.* Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.