Native Bible

2 Chronicles 1:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue.* Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue.

2 Chronicles 1:16 in English

2 Chronicles 1:16 · Berean Standard Bible

Solomon’s horses were imported from Egypt and Kue;* the royal merchants purchased them from Kue.

Context

14Solomoni akakusanya magari ya vita na farasi. Alikuwa na magari 1,400 na farasi 12,000, ambayo aliyaweka katika miji ya magari na mengine akawa nayo huko Yerusalemu. 15Mfalme akafanya fedha na dhahabu kuwa vitu vya kawaida kama mawe huko Yerusalemu, mierezi akaifanya kuwa mingi kama mikuyu vilimani. 16Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue.* Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue. 17Waliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600* za fedha, na farasi kwa shekeli 150.* Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.