1 Timotheo 6:8
1 Timothy 6:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini kama tuna chakula na mavazi, tutaridhika navyo.
1 Timothy 6:8 in English
1 Timothy 6:8 · Berean Standard Bible
But if we have food and clothing, we will be content with these.
Context
6Lakini utauwa na kuridhika ni faida kubwa. 7Kwa kuwa hatukuja humu duniani na kitu chochote, wala hatuwezi kutoka humu na kitu. 8Lakini kama tuna chakula na mavazi, tutaridhika navyo. 9Lakini wale watu wanaotamani kuwa na mali kwa haraka huanguka kwenye majaribu, na wamenaswa na tamaa nyingi za kipumbavu zenye kudhuru, zinazowazamisha watu katika uharibifu na maangamizi. 10Kwa maana kupenda fedha ndiyo shina moja la maovu ya kila namna. Baadhi ya watu wakitamani fedha, wameiacha imani na kujichoma wenyewe kwa maumivu mengi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.