Native Bible

1 Timothy 6:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa hatukuja humu duniani na kitu chochote, wala hatuwezi kutoka humu na kitu.

1 Timothy 6:7 in English

1 Timothy 6:7 · Berean Standard Bible

For we brought nothing into the world, so * we cannot carry anything out of it.

Context

5na kuzozana kusikokoma kati ya watu walioharibika akili zao, walioikosa kweli, na ambao hudhani kwamba utauwa ni njia ya kupata faida. 6Lakini utauwa na kuridhika ni faida kubwa. 7Kwa kuwa hatukuja humu duniani na kitu chochote, wala hatuwezi kutoka humu na kitu. 8Lakini kama tuna chakula na mavazi, tutaridhika navyo. 9Lakini wale watu wanaotamani kuwa na mali kwa haraka huanguka kwenye majaribu, na wamenaswa na tamaa nyingi za kipumbavu zenye kudhuru, zinazowazamisha watu katika uharibifu na maangamizi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.