Native Bible

1 Timothy 5:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Vivyo hivyo, matendo mema yako dhahiri, na hata yale ambayo si mema hayawezi kufichika.

1 Timothy 5:25 in English

1 Timothy 5:25 · Berean Standard Bible

In the same way, good deeds are obvious, and even the ones that are inconspicuous cannot remain hidden.

Context

23Acha kunywa maji peke yake, tumia divai kidogo kwa sababu ya tumbo lako na maumivu yako ya mara kwa mara. 24Dhambi za watu wengine ni dhahiri nazo zinawatangulia kwenda hukumuni; na dhambi za watu wengine zinawafuata nyuma yao. 25Vivyo hivyo, matendo mema yako dhahiri, na hata yale ambayo si mema hayawezi kufichika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.