Native Bible

1 Timothy 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hili ni neno la kuaminiwa, kwamba mtu akitamani kazi ya uangalizi, atamani kazi nzuri.

1 Timothy 3:1 in English

1 Timothy 3:1 · Berean Standard Bible

This is a trustworthy saying: If anyone aspires to be an overseer, he desires a noble task.

Context

1Hili ni neno la kuaminiwa, kwamba mtu akitamani kazi ya uangalizi, atamani kazi nzuri. 2Basi, imempasa mwangalizi awe mtu asiye na lawama, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi, anayejitawala, anayeheshimika, mkarimu, ajuaye kufundisha, 3asiwe mlevi, wala mkali bali awe mpole, asiwe mgomvi wala mpenda fedha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.