Native Bible

1 Thessalonians 4:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo farijianeni kwa maneno haya.

1 Thessalonians 4:18 in English

1 Thessalonians 4:18 · Berean Standard Bible

Therefore encourage one another with these words.

Context

16Kwa maana Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni, akitoa amri kwa sauti kuu, pamoja na sauti ya malaika mkuu, na sauti ya tarumbeta ya Mungu. Nao waliokufa wakiwa katika Kristo watafufuka kwanza. 17Baada ya hilo sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu ili kumlaki Bwana hewani, hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele. 18Kwa hiyo farijianeni kwa maneno haya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.