Native Bible

1 Samuel 9:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtumishi akamjibu Sauli tena, akasema, “Tazama, nina fedha robo shekeli.* Hiyo nitampa huyo mtu wa Mungu ili aweze kutuambia twende kwa njia ipi.”

1 Samuel 9:8 in English

1 Samuel 9:8 · Berean Standard Bible

The servant answered him again. “Look,” he said, “I have here in my hand a quarter shekel of silver.* I will give it to the man of God, and he will tell us our way.”

Context

6Lakini mtumishi akajibu, “Tazama, katika mji huu yupo mtu wa Mungu, anayeheshimiwa sana na kila kitu asemacho hutokea kweli. Sasa na twende huko. Huenda atatuambia twende njia ipi.” 7Sauli akamwambia mtumishi wake, “Kama tukienda, tutampa nini huyo mtu? Chakula kimekwisha kwenye mifuko yetu. Hatuna zawadi ya kumpelekea huyo mtu wa Mungu. Je tuna nini?” 8Mtumishi akamjibu Sauli tena, akasema, “Tazama, nina fedha robo shekeli.* Hiyo nitampa huyo mtu wa Mungu ili aweze kutuambia twende kwa njia ipi.” 9(Zamani katika Israeli, kama mtu alikwenda kuuliza neno kwa Mungu, angalisema, “Njoo na twende kwa mwonaji,” kwa sababu nabii wa sasa alikuwa akiitwa mwonaji.) 10Sauli akamwambia mtumishi wake, “Vyema, njoo na twende.” Basi wakaenda mjini alipokuwepo huyo mtu wa Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.