Native Bible

1 Samuel 6:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sanduku la Bwana lilipokuwa limekaa katika nchi ya Wafilisti kwa miezi saba,

1 Samuel 6:1 in English

1 Samuel 6:1 · Berean Standard Bible

When the ark of the LORD had been in the land of the Philistines seven months,

Context

1Sanduku la Bwana lilipokuwa limekaa katika nchi ya Wafilisti kwa miezi saba, 2Wafilisti waliwaita makuhani wa Dagoni na waaguzi, na kuwaambia, “Tutafanya nini na hili Sanduku la Bwana? Tuambieni jinsi tutakavyolirudisha mahali pake.” 3Wakajibu, “Kama mtalirudisha Sanduku la Mungu wa Israeli, msilirudishe mikono mitupu bali kwa vyovyote mpelekeeni sadaka ya hatia. Kisha mtaponywa, nanyi mtafahamu kwa nini mkono wake haujaondolewa kwenu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.