Native Bible

1 Samuel 4:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akasema, “Utukufu umeondoka katika Israeli, kwa kuwa Sanduku la Mungu limetekwa.”

1 Samuel 4:22 in English

1 Samuel 4:22 · Berean Standard Bible

“The glory has departed from Israel,” she said, “for the ark of God has been captured.”

Context

20Alipokuwa akifa, wanawake waliokuwa wanamhudumia wakamwambia, “Usikate tamaa, umemzaa mwana.” Lakini hakujibu wala kuweka maanani. 21Alimwita yule mtoto Ikabodi,* akisema, “Utukufu umeondoka katika Israeli,” kwa sababu ya kutekwa kwa Sanduku la Mungu na vifo vya baba mkwe na mumewe. 22Akasema, “Utukufu umeondoka katika Israeli, kwa kuwa Sanduku la Mungu limetekwa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.