Native Bible

1 Samuel 3:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akaendelea kutokea huko Shilo, na huko kujidhihirisha kwa Samweli kwa njia ya neno lake.

1 Samuel 3:21 in English

1 Samuel 3:21 · Berean Standard Bible

And the LORD continued to appear at Shiloh, because there He revealed Himself to Samuel by His word.

Context

19Bwana alikuwa pamoja na Samweli alipokuwa akikua, na hakuacha hata moja ya maneno yake lianguke chini. 20Nao Israeli wote kuanzia Dani hadi Beer-Sheba wakatambua kuwa Samweli amethibitishwa kuwa nabii wa Bwana. 21Bwana akaendelea kutokea huko Shilo, na huko kujidhihirisha kwa Samweli kwa njia ya neno lake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.