1 Samweli 23:1
1 Samuel 23:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Daudi alipoambiwa kuwa, “Tazama, Wafilisti wanapigana dhidi ya Keila nao wanapokonya nafaka katika sakafu za kupuria,”
1 Samuel 23:1 in English
1 Samuel 23:1 · Berean Standard Bible
Now it was reported to David, “Look, the Philistines are fighting against Keilah and looting the threshing floors.”
Context
1Daudi alipoambiwa kuwa, “Tazama, Wafilisti wanapigana dhidi ya Keila nao wanapokonya nafaka katika sakafu za kupuria,” 2akauliza kwa Bwana, akisema, “Je, niende na kuwashambulia hawa Wafilisti?”
Bwana akamjibu, “Nenda, washambulie Wafilisti na uuokoe Keila.” 3Lakini watu wa Daudi wakamwambia, “Hapa Yuda kwenyewe tunaogopa. Si zaidi sana, kama tukienda Keila dhidi ya majeshi ya Wafilisti!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.