1 Samweli 22:23
1 Samuel 22:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kaa pamoja nami; usiogope. Mtu anayeutafuta uhai wako anautafuta uhai wangu pia. Ukiwa pamoja nami utakuwa salama.”
1 Samuel 22:23 in English
1 Samuel 22:23 · Berean Standard Bible
Stay with me; do not be afraid, for he who seeks your life is seeking mine as well. You will be safe with me.”
Context
21Akamwambia Daudi kuwa Sauli amewaua makuhani wa Bwana. 22Kisha Daudi akamwambia Abiathari: “Siku ile, wakati Doegi Mwedomu alipokuwa pale, nilijua atahakikisha amemwambia Sauli. Mimi ninawajibika kwa vifo vya jamaa ya baba yako yote. 23Kaa pamoja nami; usiogope. Mtu anayeutafuta uhai wako anautafuta uhai wangu pia. Ukiwa pamoja nami utakuwa salama.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.