1 Samweli 22:21
1 Samuel 22:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akamwambia Daudi kuwa Sauli amewaua makuhani wa Bwana.
1 Samuel 22:21 in English
1 Samuel 22:21 · Berean Standard Bible
And Abiathar told David that Saul had killed the priests of the LORD.
Context
19Pia akaupiga Nobu kwa upanga, mji wa makuhani, wakiwemo wanaume na wanawake, watoto wadogo na wale wanyonyao, ngʼombe wake, punda na kondoo. 20Lakini Abiathari, mwana wa Ahimeleki, mwana wa Ahitubu, akatoroka, akakimbia na kujiunga na Daudi. 21Akamwambia Daudi kuwa Sauli amewaua makuhani wa Bwana. 22Kisha Daudi akamwambia Abiathari: “Siku ile, wakati Doegi Mwedomu alipokuwa pale, nilijua atahakikisha amemwambia Sauli. Mimi ninawajibika kwa vifo vya jamaa ya baba yako yote. 23Kaa pamoja nami; usiogope. Mtu anayeutafuta uhai wako anautafuta uhai wangu pia. Ukiwa pamoja nami utakuwa salama.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.