Native Bible

1 Samuel 18:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya Daudi kumaliza kuongea na Sauli, roho ya Yonathani ikaambatana na roho ya Daudi, naye akampenda kama nafsi yake mwenyewe.

1 Samuel 18:1 in English

1 Samuel 18:1 · Berean Standard Bible

After David had finished speaking with Saul, the souls of Jonathan and David were knit together, and Jonathan loved him as himself.

Context

1Baada ya Daudi kumaliza kuongea na Sauli, roho ya Yonathani ikaambatana na roho ya Daudi, naye akampenda kama nafsi yake mwenyewe. 2Kuanzia siku ile Sauli akamchukua Daudi naye hakumruhusu kurudi nyumbani kwa baba yake. 3Yonathani akafanya agano na Daudi kwa sababu alimpenda kama nafsi yake mwenyewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.