1 Samweli 17:54
1 Samuel 17:54 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Daudi akachukua kichwa cha yule Mfilisti na kukileta Yerusalemu, naye akaweka silaha za huyo Mfilisti katika hema lake mwenyewe.
1 Samuel 17:54 in English
1 Samuel 17:54 · Berean Standard Bible
David took the head of the Philistine and brought it to Jerusalem, and he put Goliath’s weapons in his own tent.
Context
52Ndipo watu wa Israeli na Yuda wakainuka kwenda mbele wakipiga kelele na kufuatia Wafilisti mpaka kwenye ingilio la Gathi kwenye malango ya Ekroni. Maiti zao zilitawanyika kando ya barabara ya Shaaraimu hadi Gathi na Ekroni. 53Waisraeli waliporudi kutoka kuwafukuza Wafilisti, waliteka nyara kutoka kambi yao. 54Daudi akachukua kichwa cha yule Mfilisti na kukileta Yerusalemu, naye akaweka silaha za huyo Mfilisti katika hema lake mwenyewe. 55Sauli alipomwona Daudi anakwenda kukabiliana na huyo Mfilisti, alimwambia Abneri, jemadari wa jeshi, “Abneri, yule kijana ni mwana wa nani?”
Abneri akajibu, “Hakika kama uishivyo, ee mfalme, mimi sifahamu.” 56Mfalme akasema, “Uliza huyu kijana ni mwana wa nani.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.