1 Samweli 10:20
1 Samuel 10:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Samweli alipoyasogeza makabila yote ya Israeli, kabila la Benyamini likachaguliwa.
1 Samuel 10:20 in English
1 Samuel 10:20 · Berean Standard Bible
Thus Samuel had all the tribes of Israel come forward, and the tribe of Benjamin was selected.
Context
18naye akawaambia, “Hili ndilo asemalo Bwana, Mungu wa Israeli: ‘Niliwatoa Israeli kutoka Misri, nami niliwaokoa toka nguvu za Misri na falme zote zilizowaonea.’ 19Lakini sasa mmemkataa Mungu wenu, ambaye anawaokoa toka katika maafa yenu yote na taabu zenu zote. Nanyi mmesema, ‘Hapana, tuteulie mfalme atutawale.’ Sasa basi, jihudhurisheni wenyewe mbele za Bwana kwa kabila zenu na kwa koo zenu.” 20Samweli alipoyasogeza makabila yote ya Israeli, kabila la Benyamini likachaguliwa. 21Kisha akalisogeza mbele kabila la Benyamini, ukoo kwa ukoo, nao ukoo wa Matri ukachaguliwa. Mwishoni Sauli mwana wa Kishi akachaguliwa. Lakini walipomtafuta, hakuonekana. 22Wakazidi kuuliza kwa Bwana, “Je, huyo mtu amekwisha kufika hapa?”
Naye Bwana akasema, “Ndiyo, amejificha katikati ya mizigo.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.