Native Bible

1 Peter 2:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ikiwa kweli mmeonja ya kwamba Bwana ni mwema.

1 Peter 2:3 in English

1 Peter 2:3 · Berean Standard Bible

now that you have tasted that the Lord is good.

Context

1Kwa hiyo, wekeni mbali nanyi uovu wote na udanganyifu wote, unafiki, wivu na masingizio ya kila namna. 2Kama watoto wachanga, waliozaliwa sasa, yatamanini maziwa ya kiroho yasiyochanganywa na kitu kingine chochote, ili kwa hayo mpate kukua katika wokovu, 3ikiwa kweli mmeonja ya kwamba Bwana ni mwema. 4Mnapokuja kwake, yeye aliye Jiwe lililo hai, lililokataliwa na wanadamu bali kwa Mungu ni teule na la thamani kwake, 5ninyi nanyi, kama mawe yaliyo hai, mnajengwa kuwa nyumba ya kiroho, ili mpate kuwa ukuhani mtakatifu, mkitoa dhabihu za kiroho zinazokubaliwa na Mungu kwa njia ya Yesu Kristo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.