Native Bible

1 Peter 2:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo, wekeni mbali nanyi uovu wote na udanganyifu wote, unafiki, wivu na masingizio ya kila namna.

1 Peter 2:1 in English

1 Peter 2:1 · Berean Standard Bible

Rid yourselves, therefore, of all malice, deceit, hypocrisy, envy, and slander.

Context

1Kwa hiyo, wekeni mbali nanyi uovu wote na udanganyifu wote, unafiki, wivu na masingizio ya kila namna. 2Kama watoto wachanga, waliozaliwa sasa, yatamanini maziwa ya kiroho yasiyochanganywa na kitu kingine chochote, ili kwa hayo mpate kukua katika wokovu, 3ikiwa kweli mmeonja ya kwamba Bwana ni mwema.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.