1 Petro 2:24
1 Peter 2:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, ili tufe kwa mambo ya dhambi, bali tupate kuishi katika haki. Kwa kupigwa kwake, ninyi mmeponywa.
1 Peter 2:24 in English
1 Peter 2:24 · Berean Standard Bible
He Himself bore our sins * in His body on the tree, so that we might die to sin and live to righteousness. “By His stripes you are healed.”*
Context
22“Yeye hakutenda dhambi,
wala hila haikuonekana kinywani mwake.” 23Yeye alipotukanwa, hakurudisha matukano; alipoteswa, hakutishia, bali alijikabidhi kwa yeye ahukumuye kwa haki. 24Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, ili tufe kwa mambo ya dhambi, bali tupate kuishi katika haki. Kwa kupigwa kwake, ninyi mmeponywa. 25Kwa maana mlikuwa mmepotea kama kondoo, lakini sasa mmerudi kwa Mchungaji na Mwangalizi wa roho zenu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.