Native Bible

1 Peter 1:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

lakini neno la Bwana ladumu milele.” Hili ndilo neno lililohubiriwa kwenu.

1 Peter 1:25 in English

1 Peter 1:25 · Berean Standard Bible

but the word of the Lord stands forever.”* And this is the word that was proclaimed to you.

Context

23Kwa maana mmezaliwa upya, si kwa mbegu ile iharibikayo, bali kwa ile isiyoharibika, kupitia kwa neno la Mungu lililo hai na linalodumu milele. 24Maana, “Wanadamu wote ni kama majani, nao utukufu wao ni kama maua ya kondeni; majani hunyauka na maua huanguka, 25lakini neno la Bwana ladumu milele.” Hili ndilo neno lililohubiriwa kwenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.