1 Wafalme 7:15
1 Kings 7:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hiramu akasubu nguzo mbili za shaba, kila moja ikiwa na urefu wa dhiraa kumi na nane,* kila nguzo ikiwa na mzingo wa dhiraa kumi na mbili* kwa mstari.
1 Kings 7:15 in English
1 Kings 7:15 · Berean Standard Bible
He cast two pillars of bronze, each eighteen cubits high and twelve cubits in circumference.*
Context
13Mfalme Solomoni akatuma watu Tiro kumleta Hiramu, 14ambaye mama yake alikuwa mjane kutoka kabila la Naftali na baba yake alikuwa mtu wa Tiro tena fundi wa shaba. Hiramu alikuwa na ustadi wa hali ya juu na mzoefu katika aina zote za kazi ya shaba. Alikuja kwa Mfalme Solomoni na kufanya kazi zake zote alizopangiwa. 15Hiramu akasubu nguzo mbili za shaba, kila moja ikiwa na urefu wa dhiraa kumi na nane,* kila nguzo ikiwa na mzingo wa dhiraa kumi na mbili* kwa mstari. 16Pia alitengeneza mataji mawili ya shaba ya kusubu ili kuyaweka juu ya hizo nguzo; kila taji lilikuwa na kimo cha dhiraa tano* kwenda juu. 17Wavu wa mikufu iliyosokotewa kwenye zile taji juu ya zile nguzo, saba kwa kila taji.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.