1 Wafalme 6:1
1 Kings 6:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katika mwaka wa 480 baada ya Waisraeli kutoka nchi ya Misri, katika mwaka wa nne wa utawala wa Solomoni katika Israeli, katika mwezi wa Zivu, ambao ndio mwezi wa pili, alianza kujenga Hekalu la Bwana.
1 Kings 6:1 in English
1 Kings 6:1 · Berean Standard Bible
In the four hundred and eightieth * year after the Israelites had come out of the land of Egypt, in the month of Ziv,* the second month of the fourth year of Solomon’s reign over Israel, he began to build the house of the LORD.
Context
1Katika mwaka wa 480 baada ya Waisraeli kutoka nchi ya Misri, katika mwaka wa nne wa utawala wa Solomoni katika Israeli, katika mwezi wa Zivu, ambao ndio mwezi wa pili, alianza kujenga Hekalu la Bwana. 2Hekalu hilo Mfalme Solomoni alilojenga kwa ajili ya Bwana lilikuwa na urefu wa dhiraa sitini,* upana wa dhiraa ishirini* na kimo cha dhiraa thelathini* kwenda juu. 3Baraza ya mbele ya Hekalu ilienea dhiraa ishirini kulingana na upana wa Hekalu na kujitokeza dhiraa kumi mbele ya Hekalu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.