Native Bible

1 Kings 17:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo yule mwanamke akamwambia Eliya, “Sasa ninajua kwamba wewe ni mtu wa Mungu, na kwamba neno la Bwana kutoka kinywani mwako ni kweli.”

1 Kings 17:24 in English

1 Kings 17:24 · Berean Standard Bible

Then the woman said to Elijah, “Now I know that you are a man of God and that the word of the LORD from your mouth is truth.”

Context

22Bwana akasikia kilio cha Eliya, na roho ya kijana ikamrudia, naye akafufuka. 23Eliya akamtwaa kijana na kumbeba kutoka chumbani mwake akamshusha kumpeleka kwenye nyumba. Akampa mama yake na kusema, “Tazama, mwanao yu hai!” 24Ndipo yule mwanamke akamwambia Eliya, “Sasa ninajua kwamba wewe ni mtu wa Mungu, na kwamba neno la Bwana kutoka kinywani mwako ni kweli.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.