Native Bible

1 Kings 14:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kulikuwa na vita vinavyoendelea kati ya Rehoboamu na Yeroboamu.

1 Kings 14:30 in English

1 Kings 14:30 · Berean Standard Bible

There was war between Rehoboam and Jeroboam throughout their days.

Context

28Kila wakati mfalme alipokwenda katika Hekalu la Bwana, walinzi walizichukua hizo ngao, na baadaye walizirudisha kwenye chumba cha ulinzi. 29Kwa matukio mengine ya utawala wa Rehoboamu na yote aliyoyafanya, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Yuda? 30Kulikuwa na vita vinavyoendelea kati ya Rehoboamu na Yeroboamu. 31Naye Rehoboamu akalala na baba zake, na akazikwa pamoja nao katika Mji wa Daudi. Mama yake aliitwa Naama, ambaye alikuwa Mwamoni. Naye Abiya* mwanawe akawa mfalme baada yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.