1 Wafalme 13:15
1 Kings 13:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi nabii akamwambia, “Karibu nyumbani pamoja na mimi ule.”
1 Kings 13:15 in English
1 Kings 13:15 · Berean Standard Bible
So the prophet said to the man of God, “Come home with me and eat some bread.”
Context
13Hivyo akawaambia wanawe, “Nitandikieni punda.” Walipokwisha kumtandikia punda, akampanda 14na kumfuatilia yule mtu wa Mungu. Akamkuta ameketi chini ya mwaloni na akamuuliza, “Je, wewe ndiwe mtu wa Mungu kutoka Yuda?”
Akamjibu, “Mimi ndiye.” 15Basi nabii akamwambia, “Karibu nyumbani pamoja na mimi ule.” 16Yule mtu wa Mungu akasema, “Siwezi kurudi na kwenda nawe, wala siwezi kula mkate au kunywa maji pamoja nawe mahali hapa. 17Nimeambiwa kwa neno la Bwana: ‘Kamwe usile mkate au kunywa maji huko au kurudia njia uliyojia.’ ”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.