1 Wafalme 13:14
1 Kings 13:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na kumfuatilia yule mtu wa Mungu. Akamkuta ameketi chini ya mwaloni na akamuuliza, “Je, wewe ndiwe mtu wa Mungu kutoka Yuda?” Akamjibu, “Mimi ndiye.”
1 Kings 13:14 in English
1 Kings 13:14 · Berean Standard Bible
and went after the man of God. He found him sitting under an oak tree * and asked, “Are you the man of God who came from Judah?” “I am,” he replied.
Context
12Baba yao akawauliza, “Ameelekea njia gani?” Nao wanawe wakamwonyesha ile njia yule mtu wa Mungu kutoka Yuda aliyopita. 13Hivyo akawaambia wanawe, “Nitandikieni punda.” Walipokwisha kumtandikia punda, akampanda 14na kumfuatilia yule mtu wa Mungu. Akamkuta ameketi chini ya mwaloni na akamuuliza, “Je, wewe ndiwe mtu wa Mungu kutoka Yuda?”
Akamjibu, “Mimi ndiye.” 15Basi nabii akamwambia, “Karibu nyumbani pamoja na mimi ule.” 16Yule mtu wa Mungu akasema, “Siwezi kurudi na kwenda nawe, wala siwezi kula mkate au kunywa maji pamoja nawe mahali hapa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.