Native Bible

1 Kings 10:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mfalme akafanya fedha kuwa kitu cha kawaida kama mawe huko Yerusalemu, mierezi akaifanya kuwa mingi kama mikuyu vilimani.

1 Kings 10:27 in English

1 Kings 10:27 · Berean Standard Bible

The king made silver as common in Jerusalem as stones, and cedar as abundant as sycamore in the foothills.*

Context

25Mwaka baada ya mwaka, kila mmoja ambaye alikuja alileta zawadi: vyombo vya fedha na dhahabu, majoho, silaha na vikolezi, farasi na nyumbu. 26Solomoni akakusanya magari ya vita na farasi. Alikuwa na magari 1,400 na farasi 12,000, ambayo aliyaweka katika miji ya magari na mengine akawa nayo huko Yerusalemu. 27Mfalme akafanya fedha kuwa kitu cha kawaida kama mawe huko Yerusalemu, mierezi akaifanya kuwa mingi kama mikuyu vilimani. 28Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue.* Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue. 29Waliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600 za fedha* na farasi kwa shekeli 150.* Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.