Native Bible

1 John 4:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hili ndilo pendo: si kwamba tulimpenda Mungu, bali yeye alitupenda, akamtuma Mwanawe, ili yeye awe dhabihu ya upatanisho kwa ajili ya dhambi zetu.

1 John 4:10 in English

1 John 4:10 · Berean Standard Bible

And love consists in this: not that we loved God, but that He loved us and sent His Son as the atoning sacrifice * for our sins.

Context

8Yeye asiyependa hamjui Mungu, kwa sababu Mungu ni pendo. 9Hivi ndivyo Mungu alivyoonyesha pendo lake kwetu: Mungu alimtuma Mwanawe wa pekee ulimwenguni, ili tupate uzima kupitia kwake. 10Hili ndilo pendo: si kwamba tulimpenda Mungu, bali yeye alitupenda, akamtuma Mwanawe, ili yeye awe dhabihu ya upatanisho kwa ajili ya dhambi zetu. 11Marafiki wapendwa, kama Mungu alivyotupenda sisi, imetupasa na sisi kupendana. 12Hakuna mtu yeyote aliyemwona Mungu wakati wowote. Lakini tukipendana, Mungu anakaa ndani yetu, na pendo lake limekamilika ndani yetu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.