1 Yohana 2:25
1 John 2:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hii ndiyo ahadi yake kwetu, yaani, uzima wa milele.
1 John 2:25 in English
1 John 2:25 · Berean Standard Bible
And this is the promise that He Himself made to us: eternal life.
Context
23Hakuna yeyote amkanaye Mwana aliye na Baba. Yeyote anayemkubali Mwana anaye na Baba pia. 24Hakikisheni kwamba lile mlilosikia tangu mwanzo linakaa ndani yenu. Kama lile mlilosikia tangu mwanzo linakaa ndani yenu, ninyi nanyi mtakaa ndani ya Mwana na ndani ya Baba. 25Hii ndiyo ahadi yake kwetu, yaani, uzima wa milele. 26Nawaandikia mambo haya kuhusu wale watu ambao wanajaribu kuwapotosha. 27Nanyi, upako mlioupata kutoka kwake unakaa ndani yenu, wala ninyi hamna haja ya mtu yeyote kuwafundisha. Lakini kama vile upako wake unavyowafundisha kuhusu mambo yote nayo ni kweli wala si uongo, basi kama ulivyowafundisha kaeni ndani yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.