1 Wakorintho 6:5
1 Corinthians 6:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nasema hivi ili mwone aibu. Je, inawezekana kuwa miongoni mwenu hakuna mtu mwenye hekima ya kutosha kuamua ugomvi kati ya waaminio?
1 Corinthians 6:5 in English
1 Corinthians 6:5 · Berean Standard Bible
I say this to your shame. Is there really no one among you wise enough to arbitrate between his brothers?
Context
3Hamjui kwamba tutawahukumu malaika? Je, si zaidi mambo ya maisha haya? 4Kwa hiyo kama kuna ugomvi miongoni mwenu kuhusu mambo kama haya, chagueni kuwa waamuzi, watu ambao wanaonekana hata sio wa heshima katika kanisa. 5Nasema hivi ili mwone aibu. Je, inawezekana kuwa miongoni mwenu hakuna mtu mwenye hekima ya kutosha kuamua ugomvi kati ya waaminio? 6Badala yake ndugu mmoja anampeleka mwenzake mahakamani, tena mbele ya watu wasioamini! 7Huko kuwa na mashtaka miongoni mwenu ina maana kwamba tayari ni kushindwa kabisa. Kwa nini msikubali kutendewa mabaya? Kwa nini msikubali kunyangʼanywa?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.