1 Wakorintho 6:19
1 Corinthians 6:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, hamjui ya kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu akaaye ndani yenu, ambaye mmepewa na Mungu? Ninyi si mali yenu wenyewe,
1 Corinthians 6:19 in English
1 Corinthians 6:19 · Berean Standard Bible
Do you not know that your body is a temple of the Holy Spirit who is in you, whom you have received from God? You are not your own;
Context
17Lakini mtu aliyeungwa na Bwana anakuwa roho moja naye. 18Ikimbieni zinaa. Dhambi zingine zote atendazo mtu ziko nje ya mwili wake, lakini yeye aziniye hutenda dhambi ndani ya mwili wake mwenyewe. 19Je, hamjui ya kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu akaaye ndani yenu, ambaye mmepewa na Mungu? Ninyi si mali yenu wenyewe, 20kwa maana mmenunuliwa kwa gharama. Kwa hiyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.