Native Bible

1 Corinthians 6:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mtu aliyeungwa na Bwana anakuwa roho moja naye.

1 Corinthians 6:17 in English

1 Corinthians 6:17 · Berean Standard Bible

But he who unites himself with the Lord is one with Him in spirit.

Context

15Je, hamjui kwamba miili yenu ni viungo vya Kristo mwenyewe? Je, nichukue viungo vya mwili wa Kristo na kuviunganisha na mwili wa kahaba? La hasha! 16Hamjui kwamba aliyeungwa na kahaba anakuwa mwili mmoja naye? Kwa kuwa imenenwa, “Hao wawili watakuwa mwili mmoja.” 17Lakini mtu aliyeungwa na Bwana anakuwa roho moja naye. 18Ikimbieni zinaa. Dhambi zingine zote atendazo mtu ziko nje ya mwili wake, lakini yeye aziniye hutenda dhambi ndani ya mwili wake mwenyewe. 19Je, hamjui ya kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu akaaye ndani yenu, ambaye mmepewa na Mungu? Ninyi si mali yenu wenyewe,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.