Native Bible

1 Corinthians 6:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama mtu yeyote wa kwenu ana ugomvi na mwenzake, anathubutuje kuupeleka kwa wasiomcha Mungu ili kuamuliwa badala ya kuupeleka kwa watakatifu?

1 Corinthians 6:1 in English

1 Corinthians 6:1 · Berean Standard Bible

If any of you has a grievance against another, how dare he go to law before the unrighteous instead of before the saints!

Context

1Kama mtu yeyote wa kwenu ana ugomvi na mwenzake, anathubutuje kuupeleka kwa wasiomcha Mungu ili kuamuliwa badala ya kuupeleka kwa watakatifu? 2Je, hamjui kwamba watakatifu watauhukumu ulimwengu? Nanyi kama mtauhukumu ulimwengu, je, hamwezi kuamua mambo madogo madogo? 3Hamjui kwamba tutawahukumu malaika? Je, si zaidi mambo ya maisha haya?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.