Native Bible

1 Corinthians 4:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tena, litakiwalo ni mawakili waonekane kuwa waaminifu.

1 Corinthians 4:2 in English

1 Corinthians 4:2 · Berean Standard Bible

Now it is required of stewards that they be found faithful.

Context

1Basi, watu na watuhesabu sisi kuwa tu watumishi wa Kristo na mawakili wa siri za Mungu. 2Tena, litakiwalo ni mawakili waonekane kuwa waaminifu. 3Lakini kwangu mimi ni jambo dogo sana kwamba nihukumiwe na ninyi au na mahakama yoyote ya kibinadamu. Naam, hata mimi mwenyewe sijihukumu. 4Dhamiri yangu ni safi, lakini hilo halinihesabii kuwa asiye na hatia. Bwana ndiye anihukumuye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.