Native Bible

1 Corinthians 4:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi, watu na watuhesabu sisi kuwa tu watumishi wa Kristo na mawakili wa siri za Mungu.

1 Corinthians 4:1 in English

1 Corinthians 4:1 · Berean Standard Bible

So then, men ought to regard us as servants of Christ and stewards of the mysteries of God.

Context

1Basi, watu na watuhesabu sisi kuwa tu watumishi wa Kristo na mawakili wa siri za Mungu. 2Tena, litakiwalo ni mawakili waonekane kuwa waaminifu. 3Lakini kwangu mimi ni jambo dogo sana kwamba nihukumiwe na ninyi au na mahakama yoyote ya kibinadamu. Naam, hata mimi mwenyewe sijihukumu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.