1 Wakorintho 16:14
1 Corinthians 16:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Fanyeni kila kitu katika upendo.
1 Corinthians 16:14 in English
1 Corinthians 16:14 · Berean Standard Bible
Do everything in love.
Context
12Basi kwa habari za ndugu yetu Apolo, nimemsihi kwa bidii aje kwenu pamoja na hao ndugu. Ingawa alikuwa hapendi kabisa kuja sasa, lakini atakuja apatapo nafasi. 13Kesheni, simameni imara katika imani, fanyeni kiume, kuweni mashujaa kuweni hodari. 14Fanyeni kila kitu katika upendo. 15Ninyi mnajua kwamba watu wa nyumbani mwa Stefana ndio waliokuwa wa kwanza kuamini katika Akaya, nao wamejitoa kwa ajili ya kuwahudumia watakatifu. Ndugu nawasihi, 16mjitie katika kuwahudumia watu kama hawa na kila mmoja aingiaye kwenye kazi na kuifanya kwa bidii.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.