Native Bible

1 Corinthians 15:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikilizeni, nawaambia siri: Sote hatutalala, lakini sote tutabadilishwa

1 Corinthians 15:51 in English

1 Corinthians 15:51 · Berean Standard Bible

Listen, I tell you a mystery: We will not all sleep, but we will all be changed—

Context

49Kama vile tulivyochukua mfano wa mtu wa ardhini, ndivyo tutakavyochukua mfano wa yule mtu aliyetoka mbinguni. 50Ndugu zangu nisemalo ni hili: nyama na damu haviwezi kuurithi ufalme wa Mungu, wala kuharibika kurithi kutokuharibika. 51Sikilizeni, nawaambia siri: Sote hatutalala, lakini sote tutabadilishwa 52ghafula, kufumba na kufumbua, parapanda ya mwisho itakapolia. Kwa kuwa parapanda italia, nao wafu watafufuliwa na miili isiyoharibika, nasi tutabadilishwa. 53Kwa maana mwili huu wa kuharibika lazima uvae kutokuharibika, nao huu wa kufa lazima uvae kutokufa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.