1 Wakorintho 15:49
1 Corinthians 15:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama vile tulivyochukua mfano wa mtu wa ardhini, ndivyo tutakavyochukua mfano wa yule mtu aliyetoka mbinguni.
1 Corinthians 15:49 in English
1 Corinthians 15:49 · Berean Standard Bible
And just as we have borne the likeness of the earthly man, so also shall we bear the likeness of the heavenly man.
Context
47Mtu wa kwanza aliumbwa kwa mavumbi ya ardhini, mtu wa pili alitoka mbinguni. 48Kama vile alivyokuwa yule wa ardhini, ndivyo walivyo wale walio wa ardhini; na kwa vile alivyo mtu yule aliyetoka mbinguni, ndivyo walivyo wale walio wa mbinguni. 49Kama vile tulivyochukua mfano wa mtu wa ardhini, ndivyo tutakavyochukua mfano wa yule mtu aliyetoka mbinguni. 50Ndugu zangu nisemalo ni hili: nyama na damu haviwezi kuurithi ufalme wa Mungu, wala kuharibika kurithi kutokuharibika. 51Sikilizeni, nawaambia siri: Sote hatutalala, lakini sote tutabadilishwa
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.