1 Wakorintho 14:38
1 Corinthians 14:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama mtu akipuuza jambo hili yeye mwenyewe atapuuzwa.
1 Corinthians 14:38 in English
1 Corinthians 14:38 · Berean Standard Bible
But if anyone ignores this, he himself will be ignored.*
Context
36Je, neno la Mungu lilianzia kwenu? Au ni ninyi tu ambao neno la Mungu limewafikia? 37Kama mtu yeyote akidhani kwamba yeye ni nabii, au ana karama za rohoni, basi na akubali kwamba haya ninayoandika ni maagizo kutoka kwa Bwana. 38Kama mtu akipuuza jambo hili yeye mwenyewe atapuuzwa. 39Kwa hiyo ndugu zangu, takeni sana kutoa unabii na msikataze watu kusema kwa lugha. 40Lakini kila kitu kitendeke kwa heshima na kwa utaratibu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.