1 Wakorintho 14:31
1 Corinthians 14:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana wote mnaweza kutoa unabii, mmoja baada ya mwingine, ili kila mtu apate kufundishwa na kutiwa moyo.
1 Corinthians 14:31 in English
1 Corinthians 14:31 · Berean Standard Bible
For you can all prophesy in turn so that everyone may be instructed and encouraged.
Context
29Manabii wawili au watatu wanene na wengine wapime yale yasemwayo. 30Kama mtu yeyote aliyeketi karibu, akipata ufunuo, basi yule wa kwanza na anyamaze. 31Kwa maana wote mnaweza kutoa unabii, mmoja baada ya mwingine, ili kila mtu apate kufundishwa na kutiwa moyo. 32Roho za manabii huwatii manabii. 33Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko bali ni Mungu wa amani.
Kama ilivyo katika makusanyiko yote ya watakatifu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.