Native Bible

1 Corinthians 14:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ikiwa unabariki kwa roho, mtu mwingine atakayejikuta miongoni mwa hao wasiojua, atawezaje kusema “Amen” katika kushukuru kwako, wakati haelewi unachosema?

1 Corinthians 14:16 in English

1 Corinthians 14:16 · Berean Standard Bible

Otherwise, if you speak a blessing in spirit,* how can someone who is uninstructed say “Amen” to your thanksgiving, since he does not know what you are saying?

Context

14Kwa maana nikiomba kwa lugha, roho yangu inaomba, lakini akili yangu haina matunda. 15Nifanyeje basi? Nitaomba kwa roho, na pia nitaomba kwa akili yangu. Nitaimba kwa roho na nitaimba kwa akili yangu pia. 16Ikiwa unabariki kwa roho, mtu mwingine atakayejikuta miongoni mwa hao wasiojua, atawezaje kusema “Amen” katika kushukuru kwako, wakati haelewi unachosema? 17Mnaweza kuwa mnatoa shukrani kweli, sawa, lakini huyo mtu mwingine hajengeki. 18Namshukuru Mungu kwamba mimi nanena kwa lugha kuliko ninyi nyote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.