Native Bible

1 Corinthians 14:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Fuateni upendo na kutaka sana karama za roho, hasa karama ya unabii.

1 Corinthians 14:1 in English

1 Corinthians 14:1 · Berean Standard Bible

Earnestly pursue love and eagerly desire spiritual gifts, especially the gift of prophecy.

Context

1Fuateni upendo na kutaka sana karama za roho, hasa karama ya unabii. 2Kwa maana mtu yeyote anayesema kwa lugha, hasemi na wanadamu bali anasema na Mungu. Kwa kuwa hakuna mtu yeyote anayemwelewa, kwani anasema mambo ya siri kwa roho. 3Lakini anayetoa unabii anasema na watu akiwajenga, kuwatia moyo na kuwafariji.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.