1 Wakorintho 13:5
1 Corinthians 13:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, haukasiriki upesi, hauweki kumbukumbu ya mabaya.
1 Corinthians 13:5 in English
1 Corinthians 13:5 · Berean Standard Bible
It is not rude, it is not self-seeking, it is not easily angered, it keeps no account of wrongs.
Context
3Kama nikitoa mali yote niliyo nayo na kama nikijitolea mwili wangu uchomwe moto, kama sina upendo, hainifaidi kitu. 4Upendo huvumilia, upendo hufadhili, upendo hauoni wivu, hauna majivuno, hauna kiburi. 5Haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, haukasiriki upesi, hauweki kumbukumbu ya mabaya. 6Upendo haufurahii mabaya bali hufurahi pamoja na kweli. 7Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.