Native Bible

1 Corinthians 12:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi tamanini sana karama zilizo kuu. Nami nitawaonyesha njia iliyo bora zaidi.

1 Corinthians 12:31 in English

1 Corinthians 12:31 · Berean Standard Bible

But eagerly desire the greater gifts. And now I will show you the most excellent way.

Context

29Je, wote ni mitume? Je, wote ni manabii? Je, wote ni walimu? Je, wote wanatenda miujiza? 30Je, wote wana karama ya kuponya? Je, wote hunena kwa lugha mpya? Je, wote wanatafsiri? 31Basi tamanini sana karama zilizo kuu. Nami nitawaonyesha njia iliyo bora zaidi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.