1 Wakorintho 10:26
1 Corinthians 10:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa maana, “Dunia na vyote vilivyomo ni mali ya Bwana.”
1 Corinthians 10:26 in English
1 Corinthians 10:26 · Berean Standard Bible
for, “The earth is the Lord’s, and the fullness thereof.”*
Context
24Mtu yeyote asitafute yaliyo yake mwenyewe, bali kila mtu atafute yale yanayowafaa wengine. 25Kuleni chochote kinachouzwa sokoni, bila kuuliza swali lolote kwa ajili ya dhamiri. 26Kwa maana, “Dunia na vyote vilivyomo ni mali ya Bwana.” 27Kama ukikaribishwa chakula na mtu asiyeamini nawe ukikubali kwenda, kula kila kitu kitakachowekwa mbele yako bila kuuliza maswali kwa ajili ya dhamiri. 28Lakini kama mtu yeyote akikuambia, “Hiki kimetolewa kafara kwa sanamu,” basi usikile kwa ajili ya huyo aliyekuambia na kwa ajili ya dhamiri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.