Native Bible

1 Corinthians 10:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, tunataka kuamsha wivu wa Bwana? Je, sisi tuna nguvu kuliko yeye?

1 Corinthians 10:22 in English

1 Corinthians 10:22 · Berean Standard Bible

Are we trying to provoke the Lord to jealousy? Are we stronger than He?

Context

20La hasha! Lakini kafara za watu wasiomjua Mungu hutolewa kwa mashetani, wala si kwa Mungu. Nami sitaki ninyi mwe na ushirika na mashetani. 21Hamwezi kunywa katika kikombe cha Bwana na cha mashetani pia. Hamwezi kuwa na sehemu katika meza ya Bwana na katika meza ya mashetani pia. 22Je, tunataka kuamsha wivu wa Bwana? Je, sisi tuna nguvu kuliko yeye? 23“Vitu vyote ni halali,” lakini si vitu vyote vilivyo na faida. “Vitu vyote ni halali,” lakini si vyote vinavyojenga. 24Mtu yeyote asitafute yaliyo yake mwenyewe, bali kila mtu atafute yale yanayowafaa wengine.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.