Native Bible

1 Corinthians 10:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa mkate ni mmoja, sisi tulio wengi tu mwili mmoja, kwa kuwa wote twashiriki mkate mmoja.

1 Corinthians 10:17 in English

1 Corinthians 10:17 · Berean Standard Bible

Because there is one loaf, we who are many are one body; for we all partake of the one loaf.

Context

15Nasema watu wenye ufahamu, amueni wenyewe kuhusu haya niyasemayo. 16Je, kikombe cha baraka ambacho tunakibariki, si ushirika katika damu ya Kristo? Mkate tuumegao, si ushirika wa mwili wa Kristo? 17Kwa kuwa mkate ni mmoja, sisi tulio wengi tu mwili mmoja, kwa kuwa wote twashiriki mkate mmoja. 18Waangalieni watu wa Israeli: Je, wale wote walao dhabihu si ni wale watendao kazi madhabahuni? 19Je, nina maana kwamba kafara iliyotolewa kwa sanamu ni kitu chenye maana yoyote? Au kwamba sanamu ni kitu chenye maana yoyote?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.