1 Nyakati 7:6
1 Chronicles 7:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana watatu wa Benyamini walikuwa: Bela, Bekeri na Yediaeli.
1 Chronicles 7:6 in English
1 Chronicles 7:6 · Berean Standard Bible
The three sons of Benjamin: Bela, Becher, and Jediael.
Context
4Kulingana na ukoo wa jamaa zao, walikuwa na watu hodari wa vita wapatao 36,000, kwa sababu walikuwa na wanawake na watoto wengi. 5Jamaa ya watu waliokuwa wapiganaji hodari kutoka koo zote za Isakari, kama ilivyoorodheshwa katika ukoo wao, jumla yao walikuwa 87,000. 6Wana watatu wa Benyamini walikuwa:
Bela, Bekeri na Yediaeli. 7Wana wa Bela walikuwa:
Esboni, Uzi, Uzieli, Yeremothi na Iri; walikuwa viongozi wa jamaa zao; wote ni watano. Watu wapiganaji walioorodheshwa katika ukoo wao walikuwa 22,034. 8Wana wa Bekeri walikuwa:
Zemira, Yoashi, Eliezeri, Elioenai, Omri, Yeremothi, Abiya, Anathothi na Alemethi. Hawa wote walikuwa wana wa Bekeri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.