1 Nyakati 3:1
1 Chronicles 3:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hawa ndio waliokuwa wana wa Daudi waliozaliwa huko Hebroni: Mzaliwa wa kwanza alikuwa Amnoni ambaye mama yake aliitwa Ahinoamu wa Yezreeli; wa pili, Danieli ambaye mama yake alikuwa Abigaili wa Karmeli;
1 Chronicles 3:1 in English
1 Chronicles 3:1 · Berean Standard Bible
These were the sons of David who were born to him in Hebron: The firstborn was Amnon by Ahinoam of Jezreel; the second was Daniel by Abigail of Carmel;
Context
1Hawa ndio waliokuwa wana wa Daudi waliozaliwa huko Hebroni:
Mzaliwa wa kwanza alikuwa Amnoni ambaye mama yake aliitwa Ahinoamu wa Yezreeli;
wa pili, Danieli ambaye mama yake alikuwa Abigaili wa Karmeli; 2wa tatu alikuwa Absalomu, ambaye mama yake alikuwa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri;
wa nne, Adoniya, ambaye mama yake alikuwa Hagithi; 3wa tano alikuwa Shefatia ambaye mama yake alikuwa Abitali;
wa sita alikuwa Ithreamu, aliyezaliwa na mke wake Egla.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.